MSANII WA BONGO FLAVOR - ROLLY AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAISHA YAKE YA KIMZIKI

Msanii wa bongo flavor afaamikae kwa jina la  Rolly  afunguka  mengi juu ya muziki wake pamoja na changamoto anazozipata katika kazi yake  ya muziki.

NUKUU:
   "Nimetoa nyimbo yang mpya iitwayo TETE nashukuru mashabiki pamoja na wadau wangu wamenipokea kwa kiwango kikubwa na kuifurahia kazi yangu na pamoja na kunipa matumaini ya kufika mbali,kwa sababu ndio kazi yangu iliyonifanya napata wakati mgumu  kutengwa na Ndugu zangu, ila  bado sjakata tamaa nitaendelea kufanya muziki na ndo kwanza naanza safari yangu naamini nitapata sapoti sehemu  mbalimbali kwa wadau wanaopenda muziki wangu.

  Aliyasema hayo kupitia Tono TV na kuwaomba wadau na mashabiki kumpokea na kumwamini kwa sababu  ana kazi nyingi Nzuri.

Please watch & Share
Rolly - Tete (Official Video)

Directed by @tidiaz_flims
@maxmizer

Link - https://youtu.be/fPBEW4EabUY

Link kwa Bio Instagram 👉 Rolly_tz

No comments

Powered by Blogger.