MSANII WA NYIMBO ZA ASILI TULIVUNDWE AFUNGUKA MENGI JUU YA UJIO WA VIDEO AKE

Msanii  Wa  Nyimbo  za Asili Afaamikae kwa Jina la TULIVUNDWE , Afunguka mengi kuhusu Video Ake Mpya.
      -- NUKUU: "Natarajia kutoa Video yangu mpya ya Nyimbo ya SUGANGA UMWANA ambayo inahusiana na malezi ya watoto pamoja na Elimu kuhusu madhara ya Utoaji Mimba ,kwahyoo wadau na mashabiki Wa Mziki huo Wa Asili watarajie Kazi Nzuri " Alisistizaa....!!

2 comments:

Powered by Blogger.