MTOTO KAKUTWA KAMEZA SINDANO SABA ZA KUSHONEA NGUO
Mtoto Wa kike Mwenye Umri Wa Miaka Mitatu Mkazi Wa kijiji cha Karinget Kaunti ya Pokot amekutwa na Sindano 7 za kushonea kwa mkono Tumboni mwake , baada ya kupigwa picha ya XRAY
Bibi yake Bi. Emily linga'a ambaye ndiye anaishi naye , Amesema mtoto huyu alikuwa akilalamika maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka miwili , lakin hakuweza kubaini Mara moja chanzo cha maumivu ayo na kuendelea kumpa Dawa za kutuliza maumivu , lakini kuona anazidi kulalamika walimpeleka hospital na kugundua ana Tatizo hiloo.
® Madaktari Wa Hospital hiyo wamempa Rufaa ya kwenda Hospital kubwa ya Moi ili kuweza kufanyiwa Upasuaji Wa tumbo , na kutolewa Sindano hizo ambazo hazijajulikana Zimeingiaje
SHARE. LIKE. COMMENT
No comments