KIPA WA YANGA KATEMWA KATIKA KIKOSI CHA NGORONGORO HEROES

Kipa Wa Yanga Sc na timu ya Taifa ya Vijana Chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes Ramadhani Kabwili Ametemwa katika kikosi hicho cha Vijana baada ya kuchelewa Kambini...

---Ramadhani Kabwili alitakiwa kuripoti kambini Baada ya mchezo Wa klabu take ya Yanga Sc , Ilipo cheza na Simba Sc hivyo hakutokea na kufanyaa aondolewe...

Tayari Timu ya Ngorongoro Heroes Washa mchukua Kipa mwingine toka Zanzibar kushiriki katika kikosi hiko

Mei 13 Ngorongoro Heroes watacheza na Mali katika Mchezo wao Wa Raundi ya pili kufunzu AFCON U20

1 comment:

Powered by Blogger.