BREAKING NEWS
Tanzia Uongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Ruvuma (RPC) Unasikitika kuwaarifu Msiba wa Mwanachama wetu na Mwandishi mwenzetu wa gazeti la Majira wilaya ya Mbinga Casian Nyandindi ambaye amefariki Leo majira ya saa kumi Alfajiri Hospital ya Rufaa ya Songea.Tutawajulisha taratibu za mazishi ,Mungu ailaze roho ya Ndugu yetu mpendwa pema peponi Amen.
No comments