MBUNGE WA MBEYA MJINI,JOSEPH MBILINYI NA EMMANUEL MASONGA WAACHIWA HURU.

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini,Emmanuel Masonga Waachiwa Huru.

Waheshimiwa hao walihukumiwa kifungo cha miezi 5 kwa kukutwa na hatia ya Uchochezi.

Walifungwa katika Gereza la Ruanda Jijini Mbeya , Shitaka lao lililo somwa Febr. 2, 2018

No comments

Powered by Blogger.