LIVERPOOL YATINGA FAINAL YA LIGI MABINGWA ULAYA
Klabu ya liverpool imefanikiwa kutinga hatua za fainal ya ligi ya mabingwa Ulaya licha ya kufungwa Mabao 4 kwa 2 na As Roma ya Nchini Italia
- Liverpool Fc wanasonga mbele kwa Faida ya Magoli waliofunga katika mchezo Wa awali walioshinda Mabao 5 kwa 2 hivyo kuwa na hazina ya magoli 7 kwa 6 Dhidi ya As Roma..
No comments