KANISA KATORIKI LAPIGA MARUFUKU WAJAWAZITO KUVAA SHELA WAKATI WA KUFUNGA NDOA
Kanisa katoriki Jimbo kuu la Arusha ,Limepiga Marufuku wajawazito kuvaa Shela wakati Wa kufunga Ndoa kwa kuwa vazi hiloo ni Alama ya Ubikra kwa Mwanamke ..
--
Paroko Msaidizi Wa kanisa kuu la Mtakatifu Theresa,Padri Festus Magwangi,alisema hayo kanisani akiweka Mkazo Juu ya Tamko lililotolewa na Askofu Mkuu Jimbo hiloo,Issack Amani,Wakati Akiadhimisha Misa ya Shukran iliyofanyika Jumapili iliyopitaa.
mmmh nalo ni kweli
ReplyDelete