SERIKALI IMESEMA Jun30,2018 INATARAJIA KUTOA AJIRA

Serikali imesema Jun 30,2018 Inatarajia kutoa Ajira 10,140 za Walimu Wa Shule za Msingi Nchini...
-- Haya yamezungumzwa Mei 02, 2018 Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri Wa Tamisemi , Joseph Kakunda wakati akijibu swali la Nyongeza la Mbunge Wa ludewa Deogratius Ngalawa

No comments

Powered by Blogger.