RAIS MH.JOHN POMBE MAGUFULI AMEAGIZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO KUWEKWA KWA UTARATIBU KWA MACHINGA KUFANYA BIASHARA NDANI YA KITUO CHA MABASI
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aitaka Halmashauri ya Manispaa kutafuta utaratibu utakaowawezesha Wamachinga kufanya biashara ndani ya kituo cha Mabasi [MSAMVU]
Mh Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo wakati wa ufunguzi wa kituo cha Mabasi [MSAMVU] kuwa wafanya biashara wadogowadogo watengewe eneo lao na vitambulisho waweze fanya kazi.
Aliongezea kuwa yeye hawezi kufungua kituo hicho kwa kuwanufaisha wachache kwa kuwa yeye ni Rais wa wote.
Pia amewashukuru Waheshimiwa Wabunge kwa kufikisha malalamiko ya wananchi juu ya maendeleo ya Taifa.
No comments