VITAMBI VIKUBWA VYA ASKALI POLISI VYA ZUA GUMZO BUNGENI

Mbunge wa kuteuliwa , Abdallah Bulembo , amehoji Bungeni Mjini Dodoma kwa nini baadhi ya Askali Polisi wana Vitambi Vikubwa..!
_
Bulembo alitoa hoja hiyo Jana alipokuwa akichangia Mjadala Wa makadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka Ujao wa Fedha.
_
Alihoji sababu za baadhi ya Askali kuwa na vitambi vikubwa, Akidai vinasababisha washindwe kufanya mazoezi ya Kiaskali

1 comment:

Powered by Blogger.