HATUA NGUMU ANAZOPITIA MSANII MASAI IZOO DOMY KATIKA TASNIA YA MUZIKI
Hatua ngumu anazopitia msanii Masai Izoo Domy katika tasniya ya muziki mojawapo ni kukwamishwa na maproducer
Anasema mambo mengi zaidi atafunguka hivi karibuni baada ya kukamilisha video yake ya #Umenibamba
👇🏻ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni
NANUKUU
"Nawaomba mashabiki na wadau mbalimbali
wa muziki wasichoke kunisapport japo kuna watu wananirudisha nyuma kifikra na kiweredi nitapambana mpaka nione mwisho wake .
Nawashukuru sana...."
No comments