MSANII WA BONGO FLAVOR IVAN , KATOA KAULI JUU YA NYIMBO ATAKAYO ACHIA

Msanii hyo wa Bongo Flavor Ivan kutoka Nyanda Za Juu kusini Awaeleza Shabiki na Wadau wanao support  Kazi zake kwamba anakuja Kwa Namna Ya tofauti na kuzidi kuboresha Kazi zake.

NUKUU
          "Kwanzaa kabisa niwape Taarfa Shabiki Pamoja na Wadau Ifikapo Tarehe 04/07/2018 Saa kumi Jioni ntaachia Wimbo wangu Mpya uendao Kwa Jina la  TUNAWAZIMA imefanyika Studio za PlayRecord,  Produce Florizy  ............. Tunawazima ni Idea niliipata nikiwa studio nikaamua kuiandikia na kufanya Kazi, ina utofauti mkubwa na Nyimbo zangu za Nyuma kwahiyo nawaomba sanaa Shabiki na Wadau kfikapo Saa Kumi Jioni waaze Kupakua Nyimbo Angu Kwa Blog Mbalimbali... Mengine ntayasema Kazi ikisha toka ngoja Tuwazime Kwanzaa"   Alizungumza Ivan

Basi usikose kutembelea TONOVISION ili uweze kupata wimbo huo.

No comments

Powered by Blogger.