MSANII WA BONGO FLAVOR - Pan Breezy Afunguka Juu ya kazi ake Mpya

Msanii wa Bongo Flave - PAN BREEZY afunguka Juu ya Ujio wa Kazi ake Mpya ya kimziki...
Nyimbo ake ambayo ataiacha Mwezi Huu Tar. 20 katika vituo vya Radio Nyanda za Juu kusini.

NUKUU : Nibaada ya Ukimya wangu wa Miezi kadhaa Sasa Nimekuja kulizungumzia hili juu ya Ujio wangu wa kazi angu Mpya iitwayo (MAUONGO) , Nawaamishisha Shabiki zangu na wadau wangu kuwa kazi ipo Tayari .
Pia ntakapo iachia Kazi hiyo ndipo ntaeleza kwanini nimeiita MAUONGO "Alisema Pan Breezy"

No comments

Powered by Blogger.