MSANII WA BONGO FLAVOR - IVAN CLASSIC ASAINI MKATABA WA KUTANGAZA I LOVE YOU BISCUT

Msanii wa Bongo Flavor - Ivan Asaini Mkataba na kampuni ya Biscut wa kuwa Balozi namba 1 wa I love you Biscut.
Ivan Kasainishwa Mkataba huo Tarehe 17 May 2018 kama Balozi Namba Moja wa Nyanda za Juu Kusini Mkoani Iringa ,
Ivan Alipewa Dili nono baada ya kutoa Nyimbo ake Mpya iendayo kwa jina la Kijijini.
Utaweza Download Nyimbo ake mpya hapo Chini
👇👇👇👇
http://tonovision1.blogspot.com/2018/05/ivan-kijijini-download.html?m=1

No comments

Powered by Blogger.